Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake
Iliyochapishwa
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amekamatwa na polisi huko Utah Marekani akiendesha gari la wazazi wake.amesema alikua anaelekea california kununua gari aina ya Lamborghini.Tembelea tovuti ya BBC uazame video hiyo.