Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Daktari Jaz Seehra ahofia kuambukizwa
Iliyochapishwa
Daktari mmoja ambaye anashughulikia wagonjwa wa corona amesema anatarajia kupata virusi hivyo licha ya kuwa na vifaa vya kutosha vya kujikinga. Jaz Seehra anawakagua na kuwatibu wagonjwa wenye dalili za corona swala linalomueka kwenye hatari kuu ya kuambukizwa.