Virusi vya Corona: Diamond Platnumz atoa hoteli yake itumike kama hospitali

Maelezo ya sauti, Virusi vya Corona: Diamond Platnumz atoa hoteli yake itumike kama hospitali
Iliyochapishwa

Mwanamziki wa nymbo za bongo Flava nchini Tanzania Diamond Platnumz amenunua jengo la Hotel lililopo maeneo ya Mikocheni Jijini Dar es salaam, Na kwa Mujibu wa nyota huyu wa kibao maarufu cha JEJE, , kwasasa ipo chini ya maboresho zaidi kabla ya kuizindua rasmi. Pia ameikaribisha serekali na Wizara ya Afya Tanzania Kama wanaweza kuitumia kama Hospitali ya dharura au Karantini katika kipindi hiki Cha Janga la Corona.