Dalili potofu za Corona zitaondolewa YouTube

Maelezo ya sauti, Dalili potofu za Corona zitaondolewa YouTube
Iliyochapishwa

Mtandao wa YouTube umepiga marufuku taarifa yoyote inayohusiana na virusi vya corona ambayo inapingana moja kwa moja na ushauri wa shirika la afya duniani (WHO). Mtandao huo pia umesisitiza kuondoa kitu chochote ambacho hakihusiani na matibabu halisi ya virusi hivyo.