Virusi vya Corona: Kiungo wa Manchester Marouane Fellaini apona

Maelezo ya sauti, Kiungo wa Manchester atolewa hospitali
Iliyochapishwa

Kiungo wa zamani wa Manchester United Marouane Fellaini ameruhusiwa kuondoka hopitalini alipokuwa akipokea matibabu baada ya kuambikzwa virusi vya Corona,Mach 22. Fellaini ameishukuru klabu yake ya Shandong Luneng kwa kuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa anarejea katika hali yake ya kawaida ya afya.