uzi wa zaidi ya miaka elfu 50 wapatikana

Maelezo ya sauti, uzi wa zaidi ya miaka elfu 50 wapatikana
Iliyochapishwa

Uzi unaoaminika kuwa wa zaidi ya miaka elfu 50 iliopita,umepatikana katika pango moja ncini Ufaransa. Uzi huu sasa unasemekana kuweka tashwishi ya dhana kuwa binadamu walioishi miaka ya kitambo sana hawakuwa na uelewa wa mambo ikilinganishwa na binadamu wa sasa… nini maoni yako kuhusu swala hili?