siri za kukuwezesha kukaa peke yako

Maelezo ya sauti, siri za kukuwezesha kukaa peke yako
Iliyochapishwa

Unashindwa kusalia nyumbani kwako peke yako? Basi tembelea tovuti ya bbc uone video ya Mbaharia Ryan Ramsey akieleza vigezo muhimu unavyofaa kuzingatia wakati huu unapokaa peke yako au kujitenga. Ryan alikuwa nahodha wa meli ya HMS Turbulent kati ya mwaka wa 2008 na 2011 na amewahi kukaa peke yake kwa siku 286.