Coronavirus: Wanamziki wanavyopamabana na kuondoa upweke

Iliyochapishwa

Nyota wa muziki akiwemo Coldplay,wanaimba moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii wakiwa nyumbani kuonyesha umuhimu wa kujitenga huku Covid-19 ikizidi kusambaa. Kujitenga ni njia moja inayohimizwa kuwa kielelezi cha kupunguza maambukizi ya virusi hivi.