Coronavirus: Wanamziki wanavyopamabana na kuondoa upweke

Maelezo ya sauti, Wanamziki wanavyopamabana na kuondoa upweke
Iliyochapishwa

Nyota wa muziki akiwemo Coldplay,wanaimba moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii wakiwa nyumbani kuonyesha umuhimu wa kujitenga huku Covid-19 ikizidi kusambaa. Kujitenga ni njia moja inayohimizwa kuwa kielelezi cha kupunguza maambukizi ya virusi hivi.