Matajiri wanafaa kulaumiwa kwa mzozo wa hali ya hewa duniani.

Iliyochapishwa

Matajiri wanafaa kulaumiwa kwa mzozo wa hali ya hewa duniani, utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Leeds cha nchi 86 unasema. Mmoja kati ya watu kumi zaidi duniani hutumia nishati mara 20 ya nguvu zaidi, popote pale wanapoishi. Je, unakubaliana na utafiti wa chuo hiki kuwa matajiri wanachangia kuharibu hali ya hewa zaidi?