Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kiungo wa Manchester achangisha pesa za msaada
Iliyochapishwa
Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba ameanza kuchangisha pesa ambayo itasaidia shirika la Unicef kuwasaidia watoto walioathirika kutokana na virusi vya corona. Raia huyo wa Ufaransa anasema ataongeza hela hizo maradufu iwapo lengo lake la pauni elfu £27, litaafikiwa