Kikombe cha hedhi chaleta madhara
Iliyochapishwa
Mpango wa Victoria Derbyshire umesema matumizi yasiyo sahihi ya vikombe vya hedhi inaweza kusababisha baadhi ya wanawake kupata matatizo katikka sehemu ya kiungo cha uzazi.
Chama cha madktari kinawataka baadhi ya makampuni yanayotengeneza vikombe hivyo kujumuisha ushauri bora na wa salama.
