Mfadhili wa seli shina aokoa maisha yangu

Maelezo ya sauti, Mfadhili wa celi ya uboho aokoa maisha yangu
Iliyochapishwa

Jo Kelly alipewa miezi sita ya kuishi baada ya kugunduliwa na saratani ya damu ya Hodgkin lymphoma. Alipokuwa amekata tamaa ya kuishi, alipata mfadhili wa seli shina kutoka Ujerumani. Hakuwahi kukutana na mtu ambaye aliokoa maisha yake hadi kipindi cha redio cha BBC breakfast kilipo wakutanisha kwa mara ya kwanza.