Ulemavu wa macho wabadilisha maisha yangu

Maelezo ya sauti, Ulemavu wa macho wabadilisha maisha yangu
Iliyochapishwa

Yetnebersh Nigussie alipoteza uwezo wa kuona akiwa na umri wa miaka mitano nchini Ethiopia. Hakuvinjika moyo badala yake amesema ulemavu huo wa macho umempatia fursa ya kwenda shuleni na kubadilisha maisha yake. Tembelea tovuti ya bbc kwa habari kumhusu