Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mfadhili wa seli shina aokoa maisha yangu
Iliyochapishwa
Jo Kelly alipewa miezi sita ya kuishi baada ya kugunduliwa na saratani ya damu ya Hodgkin lymphoma. Alipokuwa amekata tamaa ya kuishi, alipata mfadhili wa seli shina kutoka Ujerumani. Hakuwahi kukutana na mtu ambaye aliokoa maisha yake hadi kipindi cha redio cha BBC breakfast kilipo wakutanisha kwa mara ya kwanza.