Je,simu zinazojikunja zinadumu muda mrefu?
Iliyochapishwa
Simu zinazoweza kujikunja kwa mara nyingine tena zinakosolewa iwapo zinaweza kudumu kwa mda mrefu. Galaxy Z Flip na Motorola Razr zote zinapatikana kwenye maduka Marekani lakini ripoti zinasema simu hizo zinaharibika haraka. Je, ungependa kununua simu aina hii? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.