Matumizi ya kondomu nchini Nigeria ni machache mno

Maelezo ya sauti, Matumizi ya kondomu nchini Nigeria ni machache mno
Iliyochapishwa

Ni asilimia 34 tu ya waNigeria watu wazima wanotumia mipira ya Kondomu wanapojihusisha na ngono utafiti umesema. Kulingamna na utafiti wa NOIPOLLS ni asilimia 28 tu ya idadi yote ya watu hao hutumia mipira hiyo mara kwa mara. Je, unadhani umuhimu wa matumizi ya Mipira ya kondomu unasisitizwa ipasavyo? sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.