Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Roboti inayotumika kuwatibu wagonjwa wa kiakili wa dementia
Iliyochapishwa
Wakati teknolojia inazidi kuimarika, roboti yenye mfano wa mbwa iliyo na uwezo wa kuhisi na hutumia sauti ili atangamane vyema na binadamu. Roboti hiyo kwa jina Jennie inatumia programu tumishi ili kuwasaidia wagonjwa wanaougua ugonjwa wa kiakili wa dementia.