Roboti inayotumika kuwatibu wagonjwa wa kiakili wa dementia

Maelezo ya sauti, Roboti inayotumika kuwatibu wagonjwa wa kiakili wa dementia
Iliyochapishwa

Wakati teknolojia inazidi kuimarika, roboti yenye mfano wa mbwa iliyo na uwezo wa kuhisi na hutumia sauti ili atangamane vyema na binadamu. Roboti hiyo kwa jina Jennie inatumia programu tumishi ili kuwasaidia wagonjwa wanaougua ugonjwa wa kiakili wa dementia.