Raheem Sterling hatacheza Jumapili dhidi ya Westham

Iliyochapishwa

Mshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling atakosa mechi ya Jumapili ya Ligi ya Premia dhidi ya West Ham baada ya kupata jeraha kwenye goti. Sterling aliumia na kulazimika kutoka nje ya uwanja timu yake iliposhindwa na Tottenham Jumapili iliyopita.