Uoga wa kusambaa kwa Corona wafanya wanandoa kufunga harusi mtandaoni

Iliyochapishwa

Wapenzi wawili kutoka Singapore  Joseph Yew na mkewe  Kang Ting walirejea nyumbani baada ya matembezi yao nchini uchina kabla ya sherehe ya ndoa yao . hapo ndipo washiriki wa sherehe hio walizua uoga wao kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona .Bwana na Bi harusi waliamua kukaa mbali  huku wakipeperusha mubashara ndoa yao kupitia mitandao ya kijamii ambabo jamaa na marafiki waliwatizama wakibadilishana pingu za ndoa.