Je ulianza kumiliki simu yako ya kwanza ya rununu ukiwa na miaka mingapi?

Iliyochapishwa

Asilimia hamsini ya watoto wa Uingereza wa miaka kumi wanalimiliki simu aina ya smartphone, kulingana na ripoti ya shirika la kudhibiti vyombo vya habari Ofcom.

Kiasi cha wamiliki wa simu wachanga kimeongezeka mara mbili kwa watoto wa miaka kati ya tisa na kumi. Je, ulipata simu yako ya rununu ukiwa na umri wa maiaka mingapi?