Wanajeshi wa Marekani waonywa kuhusiana na mtandao wa Tik Tok
Iliyochapishwa
Jeshi la Marekani limepinga matumizi ya mtandao wa Tik tok katika simu zao za kazini kutokana na sababu za kiusalama. App hiyo inayomilikiwa na Uchina, ByteDance imeanza kuchunguzwa nchini Marekani na mataifa mengine.
