Upasuaji uliotumbukia nyongo huko Romania
Iliyochapishwa
Mwanamke mmoja raia wa Romania aliyekuwa akifanyiwa upasuaji katika chumba cha upasuaji alichomeka moto pale madakatari waliokuwa wakimfanyia upasuaji wa satarani ya kongosho kutumia kemikali ya kuzuia au kuua viini vya maradhi na kutumia kifaa cha upasuaji cha umeme kilichosababisha moto . Mwanamke huyo alichomeka kwa asilimia 40 ya mwili wake na baada ya wiki akafariki dunia.
