Dubu aliye na maandishi awashangaza wanasayansi Urusi

Maelezo ya sauti, Dubu aliye na maandishi awashangaza wanasayansi Urusi
Iliyochapishwa

Picha ya dubu aliyokuwa imesambazwa kwenye mitandao ya kijamii huko Urusi iliyomuonyesha mnyama huyo akiwa na maandishi yalioandikwa kwa wino mweusi umewashangaza wataalam.Wataalamu hao wanadai maandishi hayo yatamuathiri mnyama huyo kuchanganyika na mazingira.