Mwanamitindo wa Ukraine anyang'anywa tuzo kwa kuwa mzazi

Maelezo ya sauti, Mwanamitindo wa Ukraine anyang'anywa tuzo kwa kuwa mzazi
Iliyochapishwa

Mwanamitindo Veronika Didusenko,aliyetangazwa Miss Ukraine 2018 amenyang’anywa taji hiyo alipojulikana ni mzazi wa mtoto mmoja.

Je, tuzo zinastahili kuingilia maisha binafsi ya mtu?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili