Paka maarufu zaidi mitandaoni kwa jina Lil Bub afariki
Iliyochapishwa
Paka aliye na umaarufu zaidi mitandaoni kwa jina Lil Bub amefariki akiwa na miaka nane, mmiliki wa paka huyo Mike Bridavsky, ametangaza. Lil Bub anajulikana kwa macho yake yanayong'aa na ulimi uliojitoa nje.
