Sanamu ya Jogoo wa shaba kurudishwa Nigeria kutoka Uingereza

Maelezo ya sauti, Sanamu ya Jogoo wa shaba kurudishwa Nigeria kutoka Uingereza
Iliyochapishwa

Sanamu ya jogoo kwa jina "okukor" iliyoundwa kwa shaba iliyokuwa imeibwa nchini Nigeria na kuhifadhiwa katika chuo kikuu cha Cambridge, Uingereza inatarajiwa kurudishwa hivi karibuni.

Je, upi umuhimu wa sanamu hizi?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili