“Maisha yangu hapa Zanzibar ni bora kuliko nchini mwangu sababu ya vita”

“Maisha yangu hapa Zanzibar ni bora kuliko nchini mwangu sababu ya vita”
Iliyochapishwa

Orziny Kiril ni moja ya raia wa Ukraine waliokwama visiwani Zanzibar tangu vita viliponza mwezi wa pili mwaka jana, kwa sasa anafanya shughuli zake mtandaoni na kujipatia pesa inayomuwezesha kumsaidia mama yake na kaka yake ambao wameomba hifadhi nchini Hispania

Kwa mujibu wa Waziri wa Utalii Visiwani Zanzibar Simai Mohamed kuna takribani raia 30 wa Ukraine ambao bado wako visiwani humo na serikali inawasaidia kupata visa bure wakati wakisubiri hali kutengamaa nchini mwao.

Eagan Salla alikuwa visiwani Zanzibar na kutuandalia taarifa ifuatayo.