Vituo vya Mafuta vinavyoelea majini huko Lamu

Vituo vya Mafuta vinavyoelea majini huko Lamu
    • Author, Hassan Lali
    • Nafasi, Shoot Edit
  • Iliyochapishwa

 

Katika kisiwa cha pwani cha  Kenya cha Lamu, ongezeko la visa vya moto limesababisha serikali kupiga marufuku kuuza mafuta kwenye ardhi ya nchi kavu.

Hii ina maana kwamba vituo vya petroli vimehamishwa hadi katika bahari ya Hindi. Lakini hivi sio vituo vyako vya kawaida vya petroli kama mwandishi wa BBC Hassan Lali alivyogundua