Jinsi mwanamke alivyokuwa ishara ya uasi nchini Iran
Jinsi mwanamke alivyokuwa ishara ya uasi nchini Iran
Iliyochapishwa
Kifo cha Mahsa Amini akiwa mikononi mwa polisi kimezua wimbi la maandamano kote nchini Iran.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 22 alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa jinsi alivyovaa hijabu yake.
Hii ni simulizi ya jinsi hali mbaya ya mwanamke mmoja imesababisha hasira ya kitaifa dhidi ya mamlaka.



