Kombe la Dunia 2026 kutumia mipira ya kuchaji

Maelezo ya video, Kombe la Dunia 2026 kutumia mipira ya kuchaji
Kombe la Dunia 2026 kutumia mipira ya kuchaji
Iliyochapishwa

Mpira mpya wa Kombe la Dunia 2026 unaoitwa 'adidas Trionda' umetengenezwa kwa teknolojia ya juu ambapo utalazimu kuwekwa kwenye Chaji kabla ya kuanza kutumika.

Teknolojia hii kwenye mpira ina maana gani?