Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mama na mtoto waliofaulu mtihani wao wa shule pamoja
Mama na mtoto waliofaulu mtihani wao wa shule pamoja
Iliyochapishwa
Monica Kasbe alifanya mtihani wake wa darasa la 10 pamoja na mwanawe - na wote walifaulu.
Mfanyakazi wa usafi wa mazingira katika jimbo la magharibi mwa India la Maharashtra aliacha masomo yake wakati alipoolewa.
Mume wake alifariki na amekuwa akiwalea watoto wake wawili peke yake. Sasa, anapanga kuendelea na masomo yake na kufanya mtihani wa darasa la 12.