Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama: Marekani ilivyoimarisha vikosi vyake vya majini kusaidia Israel
Tazama: Marekani ilivyoimarisha vikosi vyake vya majini kusaidia Israel
Iliyochapishwa
Marekani inaimarisha vikosi vyake vya majini mashariki mwa Mediterania katika hatua ya kuonyesha uungaji mkono kwa Israel.
Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin anasema kwamba kupelekwa kwa meli ya kivita ya USS Eisenhower kulikusudiwa "kuzuia vitendo vya uhasama dhidi ya Israeli au juhudi zozote za kueneza vita hivi".