Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
"Chimbuko la hiki kikundi ni mwanangu alikuwa anapokea Kipaimara"
Iliyochapishwa
Nchini Tanzania kundi la Watoto lijulikanalo kama @tegeta_kids limejizolea umaarufu mkubwa na kujipatia wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii ambapo watoto wa umri kati ya miaka 5 hadi 15 huonesha uwezo wao wa kucheza nyimbo za mahadhi mbali mbali.
Mwanzilishi ambaye ni mama muuza maziwa anasema lengo lake ni kufikisha kikundi hiki katika majukwaa ya kimataifa.
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikitembelea kikundi hiki kilichopo jijini Dar es Salaama na kuandaa taarifa hii.