Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli
Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli
Iliyochapishwa
Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli?
Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'.
Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa Shinyanga uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo