Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Ninawanyonyeshaje watoto wangu wanne ikiwa hakuna chakula?' - Mama wa Gaza
'Ninawanyonyeshaje watoto wangu wanne ikiwa hakuna chakula?' - Mama wa Gaza
Iliyochapishwa
Mama mmoja wa Gaza aliyekimbia makazi yake na ambaye amejifungua watoto wanne hivi majuzi anasema ililazimika kutembea umbali wa kilomita tano kutafuta usafiri wa karibu kabla ya kupelekwa hospitali kujifungua kupitia njia ya upasuaji.
Familia ya watu tisa inajificha katika darasa la shule.
Takriban Wapalestina 150,000 wanalazimika kukimbia maeneo ya katikati mwa Gaza, Umoja wa Mataifa umesema, huku majeshi ya Israel yakisonga mbele kwenye kambi za wakimbizi katika maeneo hayo.