Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama: Hali ya maisha inavyochangia tatizo la udumavu Mbeya
Tazama: Hali ya maisha inavyochangia tatizo la udumavu Mbeya
Iliyochapishwa
Licha ya mkoa wa Mbeya kuwa miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa chakula na aina mbalimbali za matunda nchini Tanzania, mtoto mmoja kati ya watatu mkoani humo ameathirika na utapiamlo na udumavu kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na SMART mwaka 2023.
Mwandishi wa BBC Humphrey mgonja alitembelea mkoa huo nakuandaa taarifa hii
š„Nicholaus Mtenga