Je maisha yakuaje unapokuwa ‘pacha’ na mshambuliaji wa Brazil Neymar

Maelezo ya video, Kombe la Dunia 2022: Kutana na mwanaume anayefanana nyota wa Brazil Neymar
Je maisha yakuaje unapokuwa ‘pacha’ na mshambuliaji wa Brazil Neymar
Iliyochapishwa

Eigon Oliveira anaiambia BBC  kuhusu maisha yake kuhusu kufana na ‘pacha’ wake ambaye ni mchezaji soka maarufu duniani  Neymar.