'Nilivyotumia jina mzungu kujiimarisha kisiasa'
'Nilivyotumia jina mzungu kujiimarisha kisiasa'

Iliyochapishwa
Martin Wanyonyi Pepela ameandikisha historia kwa kuwa mtu wa kwanza mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) kuchaguliwa kama Mbunge nchini Kenya.
Wanyonyi wa chama cha Ford Kenya amechaguliwa kama Mbunge wa Webuye Mashariki katika uchaguzi wa Agosti 9.
Wanyonyi aliyelelewa katika familia ya kawaida huko magharibi mwa Kenya, anasema zamani aliitwa “Mzungu” kutokana na ulemavu wake wa ngozi.
Lakini badala ya kukasirika, alitumia utani huo kama ngazi katika kukwea maisha ya kisiasa. Mwanahabari wa BBC Roncliffe Odit alizungumza na Wanyonyi walipokutana mjini Kisumu baada ya ushindi wake… Video ya @annaokush







