Huduma za afya zilivyo changamoto nchini Kenya

Huduma za afya zilivyo changamoto nchini Kenya
Iliyochapishwa

Shirika la afya duniani [WHO] linapendekeza uwepo wa Zahanati ama Kituo cha Afya ndani ya kila kilometa 10 katika nchi zote. Pamoja na kuwa na Zahanati na Hospitali zaidi ya 200, Kaunti ya Nakuru Kenya, inakabiliwa na changamoto ya umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo. Changamoto hiyo inawaathiri zaidi wagonjwa wenye magonjwa sugu kama Bi. Phyllis Adero, mkazi wa kata ya Rhoda anayelazimika kutumia zaidi ya saa moja kupata huduma.

Amezungumza na mwandishi wetu @judith_wambare