Uchaguzi wa Kenya 2022: Je ni nani atakayetatua matatizo wakulima wa sukari?

Uchaguzi wa Kenya 2022: Je ni nani atakayetatua matatizo wakulima wa sukari?
Iliyochapishwa

Wakazi wa magharibi mwa Kenya wanajulikana kwa kilimo cha miwa.

Msimu huu wa uchaguzi BBC imetembelea mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya, kuangazia jinsi wapiga kura wa eneo hili wanavyojipanga kuwachagua viongozi wao.

Kiwanda kinachojulikana zaidi cha miwa ni cha Mumias.

Hata hivyo kiwanda hiki kimekumbwa na mzozo wa kifedha hali inayoifanya kushindwa kulipa madeni ya wakulima.

Suala kuu kwa wakulima wa miwa msimu huu wa uchaguzi ni je, ni nani atakayetatua matatizo yao?

Video: Eagan Salla