Ukame: Wanawake Wamasaai wa Kenya wanaopiga picha mabadiliko ya tabia nchi 

Ukame: Wanawake Wamasaai wa Kenya wanaopiga picha mabadiliko ya tabia nchi 
Iliyochapishwa

Wanawake wa Kimaasai nchini Kenya wanapiga picha kuhusu jinsi ukame unavyoathiri riziki ya maisha yao.

Shirika lisilo la faida limewapatia kamera kwa ajili ya kuhifadhi mabadiliko yaliyosababishwa na ukame mbaya kuwahi kushuhudiwa kwa miongo.  

Wanawake wa Amboseli wanachukua picha za mabadiliko ya tabia nchi , kama vile kulazimika kuwalisha mifugo wao unga kwasababu nyasi zimenyauka.