Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je wewe ni mpenzi wa Vitumbua?
Iliyochapishwa
Unaambiwa raha ya kuianza asubuhi angavu ni pale unapopata kifungua kinywa na kilicho bora na pendwa kwa wengi, hiki hakichagui kaya wala tabaka wengi huvutiwa nacho ambacho ni kitumbua…. ndio kitumbua .
Wengi wamevutiwa na mlo huo wa asubuhi kitu kilichopelekea hata wapishi wake kuwa wengi na mapishi yake kuwa tofauti tofauti.
Je wewe ni mpenzi wa Vitumbua? Basi karibu ujionee wakazi wa Makumbusho jijini Dar es Salaam wakifurahia utamu wa mlo huu ambao wanasema wangependa kula asubuhi, mchana jioni na hata usiku.
Frank Mavura ametuandalia habari hii