Tamasha la chakula Zanzibar: Je ni chakula gani cha asili ambacho unakipenda sana?

Iliyochapishwa

Tunatazama tamasha la chakula Zanzibar. Je ni chakula gani cha asili ambacho unakipenda sana lakini hupati nafasi ya kukipika au kupikiwa

Mpiga Picha: Eagan Salla