Fahamu chakula cha Loshoroo, maarufu kaskazini mwa Tanzania

Iliyochapishwa

Katika mfululizo wa makala za chakula eneo la Afrika mashariki leo tunaangazia Loshoro. Ni chakula maarufu Kaskazini mwa Tanzania , hutengenezwa kwa kutumia maziwa na mahindi yaliyochemshwa. Lakini chakula hiki kinapikwa vipi na kwanini walaji wanakipenda sana?