Fahamu chakula cha Loshoroo, maarufu kaskazini mwa Tanzania

Maelezo ya video, Fahamu chakula cha Loshoroo, maarufu kaskazini mwa Tanzania
Iliyochapishwa

Katika mfululizo wa makala za chakula eneo la Afrika mashariki leo tunaangazia Loshoro. Ni chakula maarufu Kaskazini mwa Tanzania , hutengenezwa kwa kutumia maziwa na mahindi yaliyochemshwa. Lakini chakula hiki kinapikwa vipi na kwanini walaji wanakipenda sana?