Jinsi Kassim Majaliwa alivyoteuliwa kuendelea na uwaziri mkuu Tanzania

Iliyochapishwa

Rais John Magufuli amemteua tena mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa kuendelea na wadhifa wa Waziri Mkuu wa Tanzania.