Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Walt Disney yatangaza kuwafuta kazi wafanyikazi 28,000.
Iliyochapishwa
Walt Disney imetangaza kuwa itawachisha kazi wafanyikazi 28,000, haswa walio katika mbuga za mandhari nchini Marekani. Disney imesema hili ni kufwatia kuwa na uwezo mdogo wa kupata wageni na kutokuwa na uhakika juu ya janga la corona iwapo litadumu mda upi. Je wafanyikazi katika eneo lako wameathirika na janga laCorona? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili.