Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kenya yatangaza utaratibu mpya wa kuwazika watu waliofariki na Covid-19
Iliyochapishwa
Wizara ya Afya nchini Kenya itaweka utaratibu mpya wa jinsi ya kuzika watu waliofariki kutokana na virusi vya Corona .
Lakini hii inamaanisha nini kwa madai ya hapo awali kuhusiana na miili ya waliofariki na Corona?